Baadhi ya wadhamini na waandaaji wa mashindano ya Kimataifa ya Mbio za Nyika yajulikanayo kama Kilimanjaro Marathon 2012 wakiwa katika moja ya vikao vyao vya mwisho kabla ya kufanyika kwa mashindano hayo Jumapili ya Februari 26,2012 mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
0 comments:
Post a Comment