Nafasi Ya Matangazo

February 22, 2012

Hii filamu niliioana leo katika kituo kikuu cha mabasi cha Mjini Moshi, ni pale basi la Ngorika lililopokuwa linatoka kituoni lakini kundi la watu likamfata konda na kila mmoja wakiwepo askari hawa walipata fedha nadhani ni mgao wao wa kujaza basi hilo lakini vipi kwa wana usalama hawa?

Posted by MROKI On Wednesday, February 22, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo