Nafasi Ya Matangazo

January 15, 2012

Hili ndilo garui alililokuwa akisafiria Mbunge wa viti Maalum CHADEMA Marehemu Regia Mtema na kupata nalo ajali. hapa likiwa katika Kituo cha polisi Mlandizi mkoani Pwani. Regia aliyekuwa akiendesha gari hili alipindukanalo jana mara tatu kwamjibu wa mashuhuda na kusababisha kifo chake. Taratibu za mazishi bado zinaendelea kufanyiika.
Posted by MROKI On Sunday, January 15, 2012 1 comment

1 comment:

  1. now afande anachora nini,namna ajali ilivyotokea,namna ya gari lilivyoalibika kwa ajili ya bima au!!!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo