Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania (CP) Albert Makoye (nguo nyeupe) ameondoka nchini kwenda India kwa matibabu zaidi kufuatia kuugua vifundo vya Uti wa Mgongo sehemu ya kiuno. Pichani ni Makoye akisindikizwa na Viongozi wa Kamati hiyo ya Miss Tanzania, Mkurugenzi wa Lino International Agency Hashim Lundenga (kushoto) na nyuma ni Katibu Bosco Majaliwa "Mshua" na kulia ni dada wa Makoye.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment