Nafasi Ya Matangazo

December 29, 2011

 Hali ya barabara ya Mwagati-Kitunda si shwari sana kufuatia barabara hiyo kuathiriwa vibaya na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni jijini Dar es Salaam na kuathiri miundombinu ya barabara yao.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wakzi wa mwagati wameiomba Serikali kupitia Manispaa yao ya Ilala kuwanusuru kwa kufanya ukarabati katika maeneo yote yaliyoathiriwa na mafuriko hayo kwani sasa magari yanapita kwatabu jambo ambalo huenda likiendelea litasababisha kukatika kwa mawasiliano ya daladala katika maeneo hayo.

Blogu hii ilishuhudia barabara hizo kama inavyoonekana pichani zikiwa zimeharibika vibaya.
Posted by MROKI On Thursday, December 29, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo