Nafasi Ya Matangazo

December 17, 2011

 Lille tamasha kubwa la Nyama Choma lililopangwa kufanyika katika viwanja vya Posta ndo limeanza hivi punde na watu kibao wameanza kumiminika katika Viwanja hivi vya Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Huku mabanda kibao kama hili la Rose Garden likiwa tayari limeivisha nyama. Upande wa burudani ni Disko kabambe pamoja na Vijana makini wa Twanga Pepeta wapo uwanjani hapa kutoa burudani mwanzo mwisho. Vinywaji ndo usiseme.
 Maini ndo hayoooo yanakatwakatwa....
Nyama choma ndiop mwanzo mwisho
Kitu Safari Lager a.k.a wadhamini wakuu wapo...
Samaki wa kuchoma nao wapo...
Vyuku hivyo jamani
Konyagi wao wanakuletea Mvinyo mwanana kutoka Dodoma
Safari lagaer team hiyo
Posted by MROKI On Saturday, December 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo