Nafasi Ya Matangazo

December 16, 2011

Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipongezwa na mama yake, Kezia Alfred, baada ya kutunukiwa shahada ya pili ya uongozi katika mahafali ya kumi ya Chuo Kikuu Mzumbe, leo.
KATIBU wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akijadili jambo na wahitimu wenzake wa Shahada ya pili ya uongozi, katika mahafali ya kumi ya Chuo Kikuu Mzumbe, leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Kutoka wapili kushoto ni, Anedina Hongele, Zakia Omari, Magnus Mahenge na Meja Joseph Masanja.
Watangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten Fredy Mwanjala, Salama Hamadi na Zainab Abdul, wakimpa zawadi ya hongera, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ambaye ametunukiwa shahada ya pili ya uongozi leo kwenye mahafali ya kumi ya Chuo Kikuu Mzumbe, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Nape akipongezwa na baba yake mdogo, Mzee Galus Abeid katika mahafali hayo. Katikati ni mama wa Nape, Kezia Alfred.
Nape akipongezana na mhitimu mwenzake kwenye mahafali hayo, Wilfred Gallaba ambaye ni Mkaguzi wa hesabu Ofisi ya Ukaguzi ya Taifa.
Wazazi wa Nape wakiwa kwenye mahafali hayo.
Nape (kushoto kwenye kona) akiwa na wahitimi wenzake wakati wakinutunukiwa sahada ya pili ya uongozi kwenye mahafali hayo.
Posted by MROKI On Friday, December 16, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo