Nafasi Ya Matangazo

December 20, 2011

Mwigizaji maarufu wa filamu za Kibongo Issa Mussa "CLOUD" anapasha kuwa filamu yake mpya ya Jeraha la Moyo inataraji kuingia sokoni siku si nyingi na huensda tukala X Mass na Mwaka Mpya tukiwa tunaiangalia.

Cloud katika ukurasa wake wa facebook hii leo anasema wadau wa filamu zake tukae mkao wa kula na katu bila sisi wadau yeye asingeweza kufika mbali katika sanaa hiyo ya maigizo ambayo aliiza kitambo akiwa katika kundi la Splended lenye maskani yake pale Ilala.
Posted by MROKI On Tuesday, December 20, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo