Mdau na mpiganaji machachari Idd Ligongo, hivi juzi kati alikula Nondozzz ya "master of arts in communication," kutoka chuo kikuu cha Wichita State University, kilichopo Jimboni Kansas, nchini Marekani.
Mpiganaji Ligongo baada ya kuchukua cheti chake.
Mdau akiwa na mai waifu wake Mary-Mzubwa Ndaro, hii inakuwa kama vile mdau karudisha bao baada ya mai-waifu wake kula nondo toka chuo hicho hicho hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment