Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa band" aka FFU,yanye makao yake nchini Ujerumani,wameachia hewani CD mpya yenye nyimbo za miaka 50 ya Uhuru.Nyimbo zilizomo katika CD hiyo ni utunzi na uimbaji wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja akiimba kwa kushirikiana na Chris-B,mpiga solo wa kikosi hiko,habari za uhakika zimetonya kuwa nyimbo hizo zimetua pia katika blog mashuuri ya Father Kidevu na Michuzi,pia vituo vya Redio vya Deutche Welle mjini Bonn,Radio VOA ya Washington,Radio Free Africa,Mwanza,vimepoke nyimbo hizo ambazo wakati wowote zinaweza kutoa burudani kwa wananchi katika shamra shamra za miaka 50 ya uhuru. Nyimbo hizo mbili (1) Miaka 50 Uhuru(rumba) na 2. 50 Uhuru Shangwe, Zinasikia pia at www.ngoma-africa.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
vichaa wa muziki wa dansi ffu aka ngoma africa bin watoto wa mbwa,tunakubali kuwa nyini ni mzimu wa muziki
ReplyDeleteNgoma africa band aka ffu maarufu pia kama watoto wa mbwa vichaa wa muziki wa dansi ni kiboko yao
ReplyDelete