Shindano la kumsaka mrembo wa Chuo Kuu cha Kimataifa Kampala (KIU) 2011 litarajiwa kufanyika jumamosi hii katika ukumbi wa Savanna Lounge (Quality Center) uliopo barabara ya Pugu, ambapo jumla ya warembo 12 wamejitokeza kuwania taji hilo siku ya tarehe 22 Octoba 2011.
Shindano litapambwa na wasanii wa kizazi kipya Dully Sykes,D-Nob,Ngoma za asili na vijana wa kutikisika(shers),mbali ya burudani hizo kutakuwa na pamoja masupastaa wa movie.
0 comments:
Post a Comment