Nafasi Ya Matangazo

October 17, 2011

Rais Jakaya kihutubia wakati alipofungua mkutano wa uwekezaji  katika mikoa ya kanda ya ziawa Tangannyika ya RUkwa na Kigoma uliofanyika mjini Mpanda  October 17,2011.
Baadhi ya  Washiriki  wa Mkutano  kuhusu Uwekezaji kwenye eneo la  ziwa Tanganyika wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete wakati aalipofungua mkutano huo Mjini Mpanda.
 
Viongozi mbalimbali wakiwapo mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa wakifuatilia mkutano huo wa uwekezaji.
Posted by MROKI On Monday, October 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo