Mkuu waKitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya (kulia) akizungumza jambo wakati wa kukabidhi stika maalum za usalama barabarani pamoja na T shirt 2200. Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Mafuta ya Engen, Shaban Kayungilo na katikati ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani, Kamishana Mohamed Mpinga. Wiki ya Taifa ya Usalama Barabarani inataraji kufanyika kitaifa Bukoba Oktoba 3,2011.
Mkutano huo ukiendelea mbele ya wanahabari na baadhi ya wajumbe wa bodi ya Usalama Barabarani.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya (kulia) Meneja Masoko wa Kampuni ya Mafuta ya Engen, Shaban Kayungilo na katikati ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani, Kamishana Mohamed Mpinga wakionesha stika hizo kwa waandishi wa habari. .
Kamishna Mohamed Mpinga akionesha stika hizo za aina tatu kwaajili ya magari, pikipiki na bajaji ambazo mwaka huu wanasema zinaalama maalum ambazo haziwezi kufojiwa kirahisi.
Kamanda Mpinga akionesha tiketi hizo pamoja na Mkuu waKitengo cha Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
Meneja Masoko waKampuni ya Mafuta ya Engen, Shaaban Kayungilo akikabidhi stika hizo kwaKamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani hii leo. Wengine ni Mkuu wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya na Mjumbe wabarazala Taifa la Usalama Barabarani Henry Bantu.
Mkuu waMawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano MallyaMeneja akikabidhi stika hizo kwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani hii leo. Wengine ni Masoko waKampuni ya Mafuta ya Engen, Shaaban Kayungilo na Mjumbe wabarazala Taifa la Usalama Barabarani Henry Bantu.
0 comments:
Post a Comment