Ulikuwa ni usiku wa mavazi ya kale katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru na Redds Fashion ambapo warembo wa Vodacom Miss Tanzania walishiriki kikamili ikiwa ni pamoja na wao kuonesha mavazi yao ya ubunifu.
Shindano la Vodacom Miss Tanzania linataraji kufanyika Septemba 10, 2011 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
Shindano la Vodacom Miss Tanzania linataraji kufanyika Septemba 10, 2011 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment