Nafasi Ya Matangazo

August 13, 2011

Mmiliki wa Lilis Collections Bi Lulu Mohammed akichukua dondoo muhimu kuhusu TWENDE mkutano wa wajasiriamali wanawake uliofanyika tarehe 13 August 2011 katika mgahawa wa Hadees uliopo posta mkabala na jengo la IPS.
Meneja Masoko Hamisi K. Omary,akiwaelekeza wajasiriamalikuhusu mikakati ya TWENDE ya mwaka huu, kwenye mkutano wa wajasiriamaliulofanyika tarehe 13 August 2011 katika mgahawa wa Hadees uliopo katikati ya jiji la Dar-es-salaam.
Posted by MROKI On Saturday, August 13, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo