Nafasi Ya Matangazo

August 27, 2011

Meneja masoko Hamisi Omary,akimfafanulia,mmoja kati ya wajasiriamali,Bi Mgesi, kuhusiana na TWENDE,katika mkutano wa mwisho wa TWENDE ulofanyika Hadees,Jijini Dar-es-salaam tarehe 27-august-2011.
Meneja Mradi,Gloria Mongela,akiwaelezea kina mama wajasiriamali kuhusiana na TWENDE,katika mkutano wa mwisho wa TWENDE ulofanyika tarehe 27-august-2011 (2),Hadees, Dar-es-salaam.
Ujumbe wa TWENDE 2011:
Mimi Mwanamke, Mimi mjasiriamali
Hatanisipowezeshwa nikiamua ninaweza
Mwanamke maendeleo
Posted by MROKI On Saturday, August 27, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo