Waziri Mkuu, MIzengo Pinda akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro kwenye makazi yake Mjini Dodoma Augost 11, 2011.
Waziri Mkuu, MIzengo PInda na mkewe Tunu wakiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Taifa, Dk. Asha Rose Migiro kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mjini Dodoma Augost 11, 2011 baada ya mazungumzo yao.
0 comments:
Post a Comment