Nafasi Ya Matangazo

August 07, 2011

 "Mimi Philip Cyprin naahidi Mbele ya Mungu na Kanisa kuwa Nitakupenda ...." ni kama Bwana harusi Philip Cyprian akisema hayo wakati akila kiapo cha utii katika ndoa huku Bi Harusi Usu-Emma Sindila akimsikiliza kwa umakiniwakila.
 Hawa ni wapambe wakiwa na bwana harusi. hii ilikuwa jana Agosti 6,2011.

Posted by MROKI On Sunday, August 07, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo