Nafasi Ya Matangazo

August 17, 2011

Wakazi wa Mji wa Mto wa Mbu mkoani Manyara wakiwa katika biashara zao za kuuza ndizi mbivu na mbichi kandokando ya barabara. Ndizi zimekuwa zikipatikana kwa wingi katika mji huo.
Posted by MROKI On Wednesday, August 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo