Mchezaji wa Orlando Magic Star Dwight Howard akisalimiana na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa alipotembelea jimbo la Monduli hii leo.Howard kupitia taasisi yake ya D12 Foundation anampango wa kujenga shule nchini Tanzania.Howard anaechezea Ligi ya Kikapu ya NBA anaurefu wa 6-foot-11 body, akipungia wananchi mkono kuwasalimia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment