Nafasi Ya Matangazo

July 02, 2011

 Waziri Mawasiliano, Sayansi na Teknologia Mhe. Makame Mbarawa akikata utepe kuzinduwa kituo kipya cha kutolea huduma na mafunzo ya intaneti bure cha Zantel ZNET,  kilichopo eneo la Mbagala Zakem. Hiki ni kituo cha kwanza na pekee nchini kutoa mafunzo ya kompyuta na intaneti kwa wanafunzi bure. Kulia ni Afisa Mkuu wa Masoko wa Zantel Norman Moyo.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia Mhe. Makame Mbarawa akitumia mtandao wa intaneti kwenye kituo kipya cha kutolea huduma na mafunzo ya intaneti bure cha Zantel ZNET,  kilichopo eneo la Mbagala Zakem. Wakimuangalia ni Msimamizi wa kituo hicho Wahindi Malekela (kati) na Afisa Mkuu wa Masoko wa Zantel Norman Moyo.
Posted by MROKI On Saturday, July 02, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo