Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NBC, Lawrence Mafuru akimkabidhi Bi. Anna Leon Mushi tuzo ya ‘Mkurugenzi Mtendaji’ katika hafla ya kila mwaka ambayo benki hiyo ilikabidhi tuzo mbalimbali kwa wafanyakazi wake bora maarufu kama ‘Heshima Awards’ jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya NBC wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Lawrence Mafuru (wa sita kushoto mstari wa nyuma) katika hafla ya kila mwaka ambayo benki hiyo hukabidhi tuzo mbalimbali kwa wafanyakazi wake bora maarufu kama ‘Heshima Awards’ jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
July 13, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment