Nafasi Ya Matangazo

July 16, 2011

Tamasha la Serengeti Fiesta Msimu wa dhahabu leo lipo mjini Moshi katika uwanja wa Chuo cha Ushirika na hapa ni Ngosha Toka Mwanza Farid Kubanda "Fid Q" akipagawisha.
 Huyu ni Jaguel toka Kenya...bibi yangu kigeugeu
 Tip Top Connection nao walikamua kisawasawa Serengeti Fiester 2011
 Ohooooo!! ...ishakuwa tabu hapa Kidevu nae kwapicha ona sasa....piga huku basi.
 George Njogopa akiteta jambo na Neville Meena katika tamasha hilo
 Mwana FA akiwa jukwaani
 Mzee Mzima Ngumi Jiwe, Joseph Haule "Profesa J"
 Msanii wa Bongo Fleva God Zila akitumbuiza jukwaani...
 Haya hawa nao walifika kupata kuona ni vipi tunaburudika katika Msimu wa dhahabu na Serengeti wakiwa na chata yao ya MZUNGU.
 Adam Mchomvu akila snap na wasanii wasanii usiku huu, Joe Makini, AY na Nick II.
 Mwana FA akiwa na Fid Q
 uwanja umetapika vilivyo ...
Moshi vipiiiii hamna majotroooooooo...ni Adam Mchomvu nae akilipelekesha jukwaa.
Posted by MROKI On Saturday, July 16, 2011 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJuly 17, 2011

    hee George Njogopa siku hizi anakata ulabu??? Si mchezo ulokole umemwisha...

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo