Daima ukilima kijijini karibu na makazi ni lazima uone kuku wakiwa nyuma au pembeni yako wakati unapiga ngwamba, na kama ni unalima na trecta basi lazima utaona Yange yange nao wapo. Huyu ni Mkazi wa Mlandisizi Mkoani Pwani akilima na kando yake kuna kuku anavizia panzi.
0 comments:
Post a Comment