Nafasi Ya Matangazo

July 15, 2011

Waziri Mkuu MIzengo Pinda( kushoto) akipata maelezo kutoka fundi sanifu wa umeme jua katika banda la Wakala wa Nishati Vijijini(REA).
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa maagizo katika banda la Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA) wakati alipotembelea banda hilo.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda(kushoto) akipata maelezo kutoka Mhandisi Melania Kamugisha katika banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) kwenye maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini yanayoendelea katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Posted by MROKI On Friday, July 15, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo