Nafasi Ya Matangazo

July 07, 2011

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua meli itakayofanya utafiti wa mafuta na Gesi kwenye  pwani ya Mtwara na Mafia inayomilikiwa na  kampuni ya PETROBAS  ya Brazil   Julai 7, 2011 . Meli hiyo iliyotengenezwa   kwenye bandari ya  Geoje nchini Korea ambako Julai 8, 2011 inatarajiwa kuzinduliwa itaweka  nanga kwenye bandari ya Mtwara miezi miche ijayo ili kuanza kazi ya utafiti wa mafuta na gesi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi  wa kiwanda cha kusindika samaki cha Geoje kilichopo katika mji wa viwanda  wa Geoje nchini Korea ya Kusini Juni 7, 2011 baada ya kukagua shughuli za kiwanda hicho.
Posted by MROKI On Thursday, July 07, 2011 1 comment

1 comment:

  1. ZeroBrainJuly 08, 2011

    Kwani hii meli si nasikia inakuja hukuhuku Bongo?

    Sasa kulikuwa kuna haja gani ya kupoteza pesa zote hizo kwenda kuikagulia huko badala ya kuisubiri hukuhuku ikija?

    Huyu si ndio alitangaza kubana matumizi kwa kutaa VX a.k.a shangingi?

    Sasa mbona haWALK THE TALK?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo