Warembo 11 wanaotakao panda jukaa la Hotel Oasis mjini Morogoro hii leo Julai 22,2011 kuwania taji la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao iliyopo Usambara Lodge. Miongoni mwao atapatikana Mrembo mwenye haiba ya Picha (MD Digital Company Miss Photogenic 2011)
Thureya Dabas (21)
Elimu: Chuo DSJ Cheti Uandishi wa Habari
Miss Pwani 3
Winifrida Gration (21)
Elimu: Diploma UDSM
Miss Pwani 1
Rahma Swai (21)
Elimu: Cheti cha Biashara na Utawala CBE
Miss Mtwara
Pendo Daniel (22)
Elimu: Kidato cha 4
Miss Morogoro 5
Asha Iddy (19)
Elimu: Kidato cha 4
Miss Lindi 3
Ritha Kavishe (22)
Elimu: Shahada ya Utalii
Miss Morogoro 2
Mariaclara Mathayo (21)
Elimu: IAMCO Cheti cha upigaji picha za video.
Miss Pwani 2
Sharifa Issa (20)
Elimu: Kidato cha Nne
Miss Morogoro 3
Aqsaritah Mabula (20)
Elimu: Diploma Airline
Miss Morogoro 4
Loveness Flavian (20)
Elimu:Degree ya Mahusiano ya Kimataifa.
Miss Lindi 1
Asha Saleh (20)
Elimu: Kidato cha sita
Miss Morogoro 1




Nawatakia kila la kheri. Kusiwepo na uchakachuaji wowote wa kura kutoka upande wowote (judges & audiance). Mungu awatangulie katika yote. Let the winner win in justice, peace and harmonyte wa kura kutoka upande wowote (judges & audiance). Mungu awatangulie katika yote. Let the winner win in justice, peace and harmony
ReplyDelete