Naibu Spika Mhe. Job Ndugai (katikati) akiongoza moja wapo ya warsha za wabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola CPA kuhusu Misingi ya Mabadiliko katika Bunge (Parliamentary Reforms: Raising the Banchmarks) katika Mkutano wa 57 wa CPA unaoendelea London Uingereza . Mhe Ndugai ni Mwakilishi wa Kanda ya Afrika katika katika CPA Dunia.Mwakilishi wa Wabunge wanawake Afrika Mashariki katika chama cha wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA) Mhe. Beatrice Shelukindo (Kulia) ambaye pia ni Mbunge katika Bunge la Tanzania akifutilia mada mbalimbali katika warsha ya wabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola CPA kuhusu Misingi ya Mabadiliko katika Bunge (Parliamentary Reforms: Raising the Banchmarks) katika Mkutano wa 57 wa CPA unaoendelea London Uingereza. Aliyepembeni ni Spika wa Bunge la Rwanda Mhe. Rose MukantabanaNaibu Spika Mhe. Jobe Ndugai (katikati) akifanya mahojiano na Mwandishi wa Ben TV Ayoub Mzee mara baada ya kumalizika kwa warsha ya wabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola CPA kuhusu Misingi ya Mabadiliko katika Bunge (Parliamentary Reforms: Raising the Banchmarks) ambaye Mhe. Ndugai alikuwa Mwenyekiti katika Mkutano wa 57 wa CPA unaoendelea London Uingereza . Mhe Ndugai ni Mwakilishi wa Kanda ya Afrika katika katika CPA Dunia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment