Tanzania Distilaries Limited (TDL) imefungua ukurasa mpya kanda ya kati. Watoto wa wakulima wa zao la zabibu kusomeshwa ili kusaidia kukipandisha chati kilimo cha zabibu. Pichani ni wazazi wa watoto ambao tayari wako shule wakisomeshwa na TDL wakiwa na mgeni rasmi Kaimu Waziri Mkuu Mhe. Samuel Sitta na mwenyeji wa shughuli Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda katika uzinduzi wa shughuli hiyo mjini Dodoma jana.
July 04, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment