Mkurugenzi wa mamlaka ya udhibiti wa Petroli nchini RWANDA, Prosper Bamara akiangalia vifungio vya kisasa vya malori yanayo beba mafuta ambavyo huzuia uibaji wa mafuta yanayo safirishwa kwenda ndani na nnje ya nchi katika kampuni inayo tengeneza matanki ya malori ya super dool Tanzania ltd kulia kwake ni mwenyekiti wa chama cha wasafirishaji mafuta tanzania TATOA BWANA SEIF ALLY SEIF ujumbe huo wa kutoka nchini Rwanda ulikuja baada serekali kuanza zoezi la kuzuia uchakuaji wa mafuta ambao ulikuwa ni tatizo kubwa lililoifanya wasafirishaji wa mafuta kuonekana siyo waminifu.
July 06, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hivyo sio vifungio vya kisasa,mbona vilikuwepo tokea miaka mingi tu isipokuwa Tanzania walikuwa hawavitumii.kwa kutokuwepo kwa hivyo vifungio vya fuel unloading kwenye maroli ya mafuta iliwapa fursa madereva kuchakachua mafuta kirahisi.na pia pamoja na kufunga vifungio hivyo bado wanahitaji mita wakati wa kuteremsha mafuta.
ReplyDelete