Nafasi Ya Matangazo

July 28, 2011

 Ajali hii ya gari iliyohusisha magari manne ilitokea usiku wa kuamkia jana katika mteremko wa Changarawe Kijiji cha Kifiwi, Mufindi mkoani Iringa na kusababisha kifo cha mtu mmoja aliyekuwa ni kondakta wa lori anapopita askari usalama barabarani.
 Gari hili nalo lilihisika katika ajali hiyo na watu kuiba kila kitu.
 Lori lililokuwa limebeba sababuni na mafuta ya Kimbo.
 Viroba vya mabaki ya sabuni.
Tahadhari zinahitajika sana barabarani ili kuepusha ajali ambazo huleta maafa na uhartibifu wa mali.
Posted by MROKI On Thursday, July 28, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo