banda la Twiga Bancorp katika maonesho ya 35 ya kimataifa ya Biashara saba saba lipo pembeni ya mlango mkuu wa kuingilia Karume Hall au PTA.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shughuli za Kibenki, katika Benki ya Twiga Bancorp, Richard Kombole (kulia) akifafanua jambo kwa mmoja wa wateja Benki hiyo juu ya huduma za uhakika na za haraka zitolewazo na Benki hiyo.
Wakazi wa jiji waliotembelea Banda la Twiga Bancorp wakitoka ndani ya banda hilo leo ikiwa ni siku ya pili ya maonesho hayo.
0 comments:
Post a Comment