Nafasi Ya Matangazo

June 09, 2011

 Wabunge na Mawaziri wakiwa katika semina ya siku moja juu ya Mpango wa kwanza wa Maendeleo wa miaka mitano 2011/2012-2015/2016 ambao ulizinduliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kiwete mjini Dod oma, Semina hiyo imetolewa ili kuwapiga ,sasa Wabunge juu ya mpango huo ambao wanataraji kuujadili Bungeni kwa siku mbili Juni 13-14, 2011.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi Bungeni akichangia hoja katika semina hiyo leo.
Posted by MROKI On Thursday, June 09, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo