Nafasi Ya Matangazo

June 09, 2011

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Kayanza Pinda akiwa kwenye picha ya pamoja nje ya viwanja vya Bunge jana na wanafunzi wa Chuo cha Ushirka na Biashara Moshi (MUCCOBS) ambao walifika Dodoma kutembelea  Bunge wakati wa kusomwa kwa Bajeti 2011/2012 . Kutoka kulia ni Waziri Katiba na Sheria Bw. Rapheel Maghoa ,Pete Mushi (Naibu Spika) ,Marry -(Katibu wa Bunge) na Kutoka kushoto ni Aderson Rwela (Waziri mkuu) na Rogati Timanywa (Spika).
Posted by MROKI On Thursday, June 09, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo