Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Utumishi wa Umma kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam Juni 20, 2011.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda(kulia) akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Hawa Ghasia wakati wa kongamano la kimataifa wa utumishi wa umma liloanza jana jijini Dar es salaam. Waziri Mkuu alikuwa ngeni rasmi katika ufunguaji wa kongamano hilo.
0 comments:
Post a Comment