Nafasi Ya Matangazo

June 10, 2011

Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo akizungumza na Waandishi wa habari Katika Ofisi ya Hazina Dodoma leo. waziri Mkulo alikuwa akijibu hoja mbalimbali zinazohusu Bajeti zilizotolewa na mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zito Kabwe kuwa Bajeti inaongopea wananchi.
Posted by MROKI On Friday, June 10, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo