Nafasi Ya Matangazo

June 15, 2011

 Warembo 12 wanao wania taji la Miss Chang'ombe 2011 wakiwa katika picha ya pamoja leo baada ya mkutano wao na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam. Warembo hawa wanataraji kupanda jukwaani Juni 17, 2011 katika ukumbi wa TCC kuwabnia taji hilo. Burudani kali itashushwa na kundi la Mapacha 3.
 Mratibu wa shindano hilo Stela Solomon akifafanua jambo kwa wanahabari.
 Nisiku ya kuonesha mapozi tu mbele ya camera.
...yaani siku hiyo moto utawaka warembo wote super.
Posted by MROKI On Wednesday, June 15, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo