Nafasi Ya Matangazo

June 16, 2011

Wakati Tanzania mwaka huu tunaadhimisha miaka 50 ya Uhuru lakini vitu vidogo ambavyo vinatufanya tukumbuke Uhuru huo tumeshindwa kuvitunza. Miongoni mwa vitu hivyo ni pamojaa na Bustani za Mnazi Mmoja ambako kuna Mnara wa Mwenge wa Uhuru na bustani mbalimbali za kupumzikia watu ambazo ziliwekwa mabwawa ya maji na kupendezesha jiji la Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Thursday, June 16, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo