Nafasi Ya Matangazo

June 16, 2011

Licha ya jitihada za Jiji la Dar es Salaam la kuwaondoa watu wanaojishughulisha na shughuli isiyo rasmi ya kuomba katika mitaa ya jiji hilo lakini bado watu hawa wamezidi kuongezeka nyakati za mchana na usiku katika taa za kuongozea magari Mnazi Mmoja karibu na makutano ya Bibi Titi na Uhuru akina mama wengi wamekuwa wakijipanga hapo na kuomba japo ambalo ni hatari kwa usalama wao pindi gari likiacha njia.
Posted by MROKI On Thursday, June 16, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo