Nafasi Ya Matangazo

June 07, 2011

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiteta jambo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga (Walemamvu) Mh. Al.Shaymaa Kwegyir mara baadaya kutoka kwenye kipindi cha maswali na majibu kwenye mkutano wa nne wa Bunge la Bajeti ya mwaka wa fedha 2011/2012.Kesho ni siku ya kusomwa kwa Bajeti ya Serikali.   Picha na Nicholaus Mmbaga . PMO.  
Posted by MROKI On Tuesday, June 07, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo