Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka na Mbunge Charles Mwijage, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 27, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kizungumza na Mwandishi wa Habari wa Kujitegemea, Bigambo Jeje wa Musoma mkoani Mara kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 27, 2011.
0 comments:
Post a Comment