Nafasi Ya Matangazo

June 27, 2011

 Mratibu wa shindano la Redds Miss Kinondoni 2011, Yusuf George "Boy George" akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano la
Miss Kinondoni 2011 leo jijini Dar es Salaam.
Shindano hilo litashinrikisha warembo 15 ambao wamtoka katika vitongoji vya Dar Indian Ocean na Sinza.

Aidha wadhamini wa shindano hilo ni Redds Primium Cold, Vodacom,PAPPA-ZI na MD Digital Company kupitia MROKIM BLOG ambao watadhamini mrembo mwenye haiba ya picha.Miss Photogenic.
 baadhi ya warembio waliohudhuria uzinduzi huo wakiwa wamekaa katika meza zao wakisikiliza wadhamini wa shindano hilo na waratibu.
 Mmoja wa washiriki akiuliza swali kwa waandaaji baada ya kupewa fursa ya kufanya hivyo.
 Warembo wakiwa wamepozi katika picha ya pamojana mdhamini kutoka PAPPA-ZI na mratibu wa shindano hilo Rahma George.
Warembo wakiwa katika pozi la mzamini wa Miss Tanziania kampuni ya Vodacom.
Posted by MROKI On Monday, June 27, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo