Nafasi Ya Matangazo

June 10, 2011

 MKUU WA IDARA YA UANACHAMA WA NHIF BI FROLAH MATABA NA OFISA WA IDARA HIYO BI ATULINDE BITEYA WAKIKABIDHI JUISI NA VITU MBALIMBALI KWA HAKINA MAMA NA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO KAMA SEHEMU YA KUJITOLEA KWENYE JAMII AMBAYO WAHITAJI WAMEKUWA WAKIONGEZEKA KILA SIKU.
 MENEJA WA NHIF KANDA YA PWANI BI ROSE ONGARA AKIMFARIJI KWA KUMPATIA SABUNI MAMA ALIYELAZWA NA MTOTO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO IKIWA NI UTARATIBU WA WANA NHIF KUWAFIKIA WANACHAMA NA WADAU WAHITAJI NI BAADA YA MAFUNZO YA SEMINA ELEKEZI YA MABORESHO YA HUDUMA KWA MTEJA KWA WATUMISHI WA IDARA YA UANACHAMA.
MKUU WA KITENGO CHA MASOKO NA MAWASILIANO BI ANGEL MZIRAY NA AFISA WA UANACHAMA BI NEEMA MSANYA WAKIWAKABIDHI MAHITAJI MBALIMBALI IKIWA NI ISHARA YA KUWATAMBUA WAHITAJI AMBAO SI WANACHAMA WA MFUKO.
Posted by MROKI On Friday, June 10, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo