Nafasi Ya Matangazo

May 04, 2011

Mkuu wa wilaya kigoma john Mongela (kushoto) akipokea msaada wa madawati kwa niaba ya shule ya sekondari ya Mwananchi ya mjini Kigoma kutoka kwa  kwa Mkurugenzi wa masoko na huduma wa benki ya CRDB Tully Esther Mwambapa (kulia) wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo shuleni hapo juzi.
Posted by MROKI On Wednesday, May 04, 2011 1 comment

1 comment:

  1. Huyu TULI huyu me huwa namzimia sana huyu.

    Sijui nitaonana nae vipi!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo