Daraja la Mkapa lililopo katika mto Rufiji wilayani Rufiji mkoani Pwani.
Uvunaji wa magogo wilayani Rufiji bado unaendelea licha ya serikali kukemea juu ya uharibifu wa mazingira unaofanyika. Hivi sasa wakazi wa eneo hilo wanatumia baiskeli kusafirisha vipande vya magogo kutoka katika misitu.
Mkazi wa Rufiji akibeba magogo kupeleka Ikwiriri.
0 comments:
Post a Comment