Baiskeli ndio usafiri mkubwa unaotumiwa vijijini, baada ya kuingia kwa Pikipiki kwa wingi na akina baba kuamua sasa kutumia pikipiki akina mama nao sasa wapo katika kuziendesha Baiskeli na kuzitumia kwa shughuli zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na kwenda shamba, kliniki na hata mashine kusaga nafaka kama pichani akina mama hawa wanavyoonekana mjini Ikwiriri.
April 11, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment