Nafasi Ya Matangazo

April 09, 2011

 Hii ilikuwa karibu na eneo la 5star ni kati ya Mikumi na Merela Morogoro 
 hii ni kukaribia Iringa mjini
Hii ni maeneo ya Mbeya lakini kilichonivutia hapa ni lundo la miti (Biwi) lililowekwa njiani kuashiria mbele kuna gari bovu. Marundo kama haya yalikuwepo kama sita hivi. Trafiki Mpoooo.
Posted by MROKI On Saturday, April 09, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo