Nafasi Ya Matangazo

April 09, 2011

 Hii ndo alama kuwa upo katika jiji la Mbeya, ni mnara wa Uhuru ulipo katikati ya jiji hilo lililozungukwaa na milima.
 Mwanamke akichoma ndizi katika moja ya mitaa ya jiji la Mbeya ili kujipatia kipato.
 Hii tunaweza sema imeanzi jijini Mbeya kwaa wanawake kutembeza ndizi na matunda mengine ya aina mbalimbali ili kuongeza kipato chao na cha familia na wale wa jiji la Dar es Salaam wakaufuta.
Hakika Mwanamke akijibidisha na kufanya shughuli za kujipatia kipata kama akina mama hawa wa jijini Mbeya basi kiwango cha akina mama walio tegemezi katika familia zao kitapungua na pindi mama akiwa na kipato hata watoto mambo yao yatakuwa mazuri.Wanawake jitumeni na muache kubweteka pasi kujitafutia kipato chenu.
Posted by MROKI On Saturday, April 09, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo