Nafasi Ya Matangazo

March 24, 2011

 Ofisa Kutoka Idara ya Posta, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Thuwayba Hussein akiwasilisha mada ya Mfumo mpya wa anuani za Posta katika semina kuhusu haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano iliyofanyika jana mjini Kibaha, mkoani Pwani.Semina hiyo ilihusisha makundi mbalimbali katika jamii.
 Sehemu ya washiriki wa Semina kuhusu haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano iliyofanyika jana mjini Kibaha, mkoani Pwani.Semina hiyo iliyoandaliwa na kuendeshwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  ilihusisha makundi mbalimbali katika jamii.
 Katibu Tawala Msaidizi wa Uchumi na Sekta za Uzalishaji Mkoani Pwani, Johnsen Bukwali akiuliza swali kwa maofisa wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakati wa semina kuhusu haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano iliyofanyika jana mjini Kibaha, mkoani Pwani.Semina hiyo ilihusisha makundi mbalimbali katika jamii.
Afisa Mkuu wa Idara ya Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Mhandisi Andrew Kisaka akifafanua jambo kwa waandishi wa habarii juu ya kuanza rasmi kwa mfumo mpya wa utangazi wa kutumia ving’amuzi ifikapo mwaka 2012 na kuacha matumizi ya analogia. Ufafanuzi huo aliutoa jana katika semina ya kuhusu haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano iliyofanyika mjini Kibaha.
Posted by MROKI On Thursday, March 24, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo