Wananchi wa Mkoa wa Mbea na vitongoji vyake wakishiriki katika maandamano ya kupinga kusitishwa kwa utoaji huduma wa tiba ya asili kwa Kijana aliyeibuka huko mbeya akitoa huduma kama ya Babu. Maandamano haya yaliishia ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mbeya.
Wananchi hao wakiwa nje ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mbeya, wakisubiri majibu toka kwa wawakilishi wao walioingia kuzungumza na Mkuu huyo wa Mkoa.
0 comments:
Post a Comment